Posts

Showing posts from May, 2020

ACHA KUJIPA PRESHA HUHITAJI MASAA MAWILI KUMRIDHISHA MWANAMKE KITANDANI!

Image
Kuna mambo mengi ambayo wanaume huwa tunadanganyana kuhusu tendo la ndoa. kila mtu anapenda kujisifia na kuna wanaume wengi tu wanapozungumzia tendo la ndoa basi huishia kudanganya, narudia huishia kudanganya. mfano utakuta mwanaume anakuambia “Jana nilipiga shoo usiku kucha, yule demu hawezi kunisahau, nilienda roundi tano… nikafanya hivi vile sijui na vile…” stori hizi kwa mwanaume ambaye huenda raun di moja zinamchanganya na kuanza kuwaza, mbona mimi naenda moja au nina tatizo la nguvu za kiume na hapa ndiyo tatizo lenyewe huanza kwani kichwa kinachanganya mpaka basi. lakini kuna hizi picha za EX, unaangalia mecho unakuta inaenda mpaka dakika 45 kamaa tena yuko na wadada watatu lakini hamalizi. Wewe ukikumbuka dakika zako tano unaanza kuchanganyikiwa. Unajiona wewe si mwanaume kamili, unaanza kuwa na msongo wa mawazo. Msongo huu wa mawazo kwanza unakupa kisirani ambacho unakipeleka kwa mke/mpenzi wako, lakini pia msongo huu wa mawazo unakufanya kushindwa kabisa kufanya tendo la ...

Si kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu.

Image
...... Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA..... na Muogope sana X wa Mmeo kabla HAJAKUOA...... kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete....... I will tell you WHY ❓ ❓ ❓  Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/ KUOLEWA NAO...... Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilik uja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu  ❗  aolewe na wewe.......... It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane, Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping, Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kif...

USIMALIZE SIKU KABLA HUJASOMA HII!!, INAGUSA MAISHA YAKO.

Image
Francis alitafuta kazi kwa muda wa miaka kadhaa bila mafanikio yeyote. baada ya maisha kumpiga sana akaabaatika kuajiriwa na mzee mmoja, mzee yule alijitolea kumpa Tax yake awe anaifanyia kazi na kila siku awe ana mpelekea kiasi cha fedha kitakachopatoakana. Siku moja Francis akiwa katika harakati zake za kazi Baada ya kukaa muda mrefu bila kupata mteja, ilikuwa kama mida ya saa 8 mchana jamaa mmoja (ambaye alikuwa raf iki yake) akampigia simu mara moja afike kiwanja cha ndege kuna abiria anamsubiri, bila kusubiri Francis aliwasha gari mwendo wa dakika 20 akawa amefika eneo la tukio(uwanja wa ndege). Baada ya kupata maelekezo yote kutoka kwa yule rafiki yake, alisubiri kama muda wa dakika 5 ndege iliwasili kutoka Saudia Arabia.. Alishuka mwanamke mmoja mwenye hadhi ya juu. Bila kuchelewa Francis alifungua mlango wa taxi yake, kuonyesha mama yule aingie kwenye gari. Safari ilianza mapaka kwenye Hoteli ya serena hoteli iliyopo pale mjini posta. Francis alimshusha na kuanza safari ya...

🌹🌹 *Huu Hapa Ukweli Mchungu Kwa Wadada Wanaolalamika Hawana Bahati za Kuolewa....*

Image
🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka waliokwisha fika, na bahati mbaya zaidi waliokwisha fika wako 'occupied !! Linalotokea ni nini? Wanawake wanadhani wana bahati mbaya? Unaweza kuwa unalalamika kuwa una mkosi WA kuolewa yaani kila mwanaume anakuja na ahadi nzuri, baadae anakuacha! Lakin upande mwingine huenda maamuzi yako ndiyo maumivu yako. Kweli huenda we ni mtoto WA kike mzuri wa sura umbo na hata kila kitu ila umenyimwa hekima! Una mpaparikia kijana mtanashati kisa ana gari na kazii nzuri. Unamwona kijana anaeenda kumbi za usiku ndo mjanja..anae vaa suruali chini ya makalio ndo sahihi kwako lakini yule anaeenda ibada kila ijumaa au jumapili unamwona mruga ruga tu! Una mpuuza Na kumdharau mtu 'A' kisa tu yeye ni kijana aliye soma ila hana ajira. Ama ni kijana ...

UTAWEZAJE KUMKAMATA MWANAUME ULIYEMPENDA

Image
HISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu katika uhalisia wake. Maana yake ni kwamba kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati kwake, tafsiri yake ni kwamba maisha yako yote yatakuwa yenye mateso kila siku. Utalala na mtu usiyempenda, utaamka naye na utaambatana naye baadhi ya sehemu wakati moyo wako haukuwa tayari kuwa naye. Hilo ni tatizo. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi bado wana mawazo na fikra za kizamani. Wapo wanaoendelea kuwachagulia au kuwalazimisha watoto wao wenzi wa kuishi nao. Ndugu zangu, hizo ni zama za kale. Maisha yamebadilika. Kila kitu kimebadilika. Ni sahihi zaidi mtu achague mwenzi wa maisha yake mwenyewe maana ataishi naye yeye. Huo ni upande mmoja; upande mwingine ni haki ya mwanamke kupenda. Imezoeleka mwanaume ndiye mwenye mamlaka ya kumpenda mwanamke na kumtaka waanzishe uhusiano. Inategemea kama mwanamke atakubali au atakaa. ...

Ulishawahi kukutana na hili kwenye mikasa ya mapenzi?

Image
Hii ni kuwakumbusha tu wale ambao bado wako wanagoogle jamani mke mwema mwenzeni nilikutana na dada mmoja wa exim enzi hizo zijui yuko wapi siku hizi mzuri anaumbo bashasha ilipofika siku ya kujaribu kama tunaweza ishi pamoja binti nikampeleka sinza pale mapambano kushoto kuna ka guest akajaandikwa jina sijui kama bado kapo kana geti nyeusi imeandikwa “””””””””””sukuma hapa””””””””””””””””””””””” opposite na kijitonyama hospitali tukaanza kula na kunywa baada ya muda mwenzenu nikazidiwa nikaanza kuwahi tunda binti akaanza kugoma ilinichukua dk 20 mpaka kujua kwa nini anankatilia anataka kuvua mwenyewe na mie sijazoe kuvuliwa hee gafla aakaenda kwenye kona ya ukuta akachukua taulo akajifunga akashusha kila kitu mmh machale yakanicheza huyu asije kuwa mwanaume mwenzangu nikaamua na mimi kuvaa nguo kujitayarisha kwa lolote..nikamuuliza vipi dear akasema basii tu nikaenda chooni niliporudi nikaenda kushika alivyovyua weeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mjini usi...

USHAURI KUHUSU MWANAMKE ANAYEFAA KUOA

Image
Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote, maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi, hekima na busara. Yote hayo ni ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu. Wekeni wivu pembeni na Yafuateni haya; 1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema. 2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia “Mimi ni mume wa mtu” au ninae mtu tayari. 3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, “wanawake wanaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao” 4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe! 5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza. 6. Tafuta mwanamke ambae atakupa challenge ya maisha na kuong...

SOMA HII MDAU UTAJIFUNZA JAMBO

Image
Biology inasema, baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu(300,000,000) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai). Kati ya hizo mbegu milioni 300 zinazofanikiwa kufika sehemu husika kwenye yai ni mbegu 500 tu, nyingine huchoka mapema na kufa njiani. Vilevile katika hizo mbegu 500 zilizofanikiwa kufika kwenye yai ni mbegu moja tu ndiyo hushinda na kuingia ndani kutengeneza kiumbe! *Mbegu hiyo ni wewe unayesoma ujumbe huu...* Biology inatuambia kuwa ulikimbia mbio na kuwashinda wenzio milioni 300 na ndiyo maana leo hii upo duniani... Usingekuwa mshindi katika mbio zile leo usingekuwepo duniani... *Je, umeshawahi kufikiri juu ya hili!?* Ulikimbia bila macho, mikono wala miguu na ukashinda! Ulikimbia bila elimu yako, ujuzi wala vyeti na ukashinda! Ulikimbia tena bila msaada wa mwingine yeyote na ukashinda... *Ni kitu gani leo cha kukufanya uwaze kushindwa katika maisha kiasi cha kukata tamaa!?* Sasa unayo...

MWANAUME KUJITAMBULISHA KWENU HAIMAANISHI KUWA ATAKUOA.

Image
Dada zangu ambao kila mkitongozwa mnaanza kusema “Kama unanipenda kweli twende ukajitambulishe kwetu ndiyo tufanye mapenzi!” Dada nikuambie kitu wazi tu, kama hutaki kufanya mapenzi kwakua una imani ya kidini hapo nakuelewa, subiri mpaka ndoa na naamini kwa imani yako Mungu atakufungulia na kukupa mume sahihi siku moja. Lakini kama hutaki kufanya mapenzi eti mpaka mwanaume ajitambulishe au akuoe basi utatambulisha wengi sana na ndoa utaishia kwenye kutoa michango tu labda nikufafanulie kidogo. (1) Asilimia kubwa ya wanaume, wanapotongoza huwa wanataka ngono tu, na mwanaume wa namna hii atafanya chochote ili akupate, hata kujitambulisha kwenu atakuja na tabia atabadilisha ili tu kukupata ila akishakupata ndiyo anapotea kabisa. (2) Kuna wanaume kweli wanakuja kwa nia ya kuoa, ila mwanaume ambaye humjui vizuri, labda hukukua naye, hakua rafiki yako, hujui maisha yake ya nyuma, umekutana naye tu miezi miwili anatangaza usikurupuke na kudhani una ngekewa, kweli kuna ngekewa lakini mara n...

KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA MJUE MWANAUME WAKO?

Image
Kama upo kwenye mahusiano ambayo unaona kabisa yapo siriasi na yanaweza kuelekea kwenye ndoa basi kuna vitu vidogo vidogo ambavyo kama mwanamke unatakiwa kuvijua. Wanawake wengi huharibu mahusiano yao kwa vitu vidogo ambavyo wanaamini wanavifanya kwa kujenga. Kwa mfano, kuvumilia, kuvumilia huua ndoa nyingi sana kwani wanawake huingia kwenye ndoa kwa kuigiza huku wanaume wakiingia kwenye ndoa wakidhani kuwa wanawake wao wanarid hika na aina ya maisha wanayoishi. Labda niwape mfano mmoja, mwanamke anaweza kuwa na mwanaume Malaya ambaye anabadilisha wanawake kila siku, wakati wa uchumba asiongee chochote akisubiri wakati wa ndoa ndiyo aongee. Kwakua anabembelezea ndoa anaamini kuwa atabadilika, lakini baada ya ndoa tu mwanaume anaendelea kuwa Malaya huku mwanamke akianza kulalamika kuhusiana na tabia za mwnaaume. Unakuta ndoa ina miezi mitatu tayari washaenda ukweni zaidi ya mara tatu kushitaki. Mwanamke kabla ya kuingia kwenye ndoa ni lazima umjue mwanaume wako na kujua namna ya kui...

MTU ASIYE NA UPENDO WA DHATI HUJA KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA KWA SABABU ZAKE UKIONA AMEDUMU NAWE HAJAKAMILISHA MALENGO NA YAKIKAMILIKA ATAONDOKA💯

Image
UPENDO WA DHATI  💘  ni agano la MUNGU kwa Wana wa adam, kwa vyovyote vile kila Mmoja anawajibika kumpenda mwingine lakini pia nae anayo haki ya KUPENDWA. Nazungumzia ule UPENDO usio na sababu wala kuangalia hitaji lako binafsi ila UJITOE BILA KUANGALIA GHARAMA YA UPENDO UNAO MPENDEA MWINGINE  💪 Ni bahati kuuona UPENDO WA DHATI  💘  hasa kw a sayari hii ambayo kila mtu analilia FURAHA YAKE BINAFSI  😭 😭 Mwenye UPENDO WA DHATI  💘  huja kwa kuangalia usalama wa NAFSI yake wala hafikirii ni namna gani utalipa UPENDO ANAOKUPA 💯 Muongo wa MAPENZI akiisha ona huendani na hitaji lake kwako lazima ajaribu kuyapindua MAPENZI ili aone mapokeo yako 😂 😂 Fanya roho ngumu msaidie kuyapindua ili akuondoke uendelee na maisha yako, amini safari yako baada yake ni nzuri ajabu Maana elimu uloipata kwake itakufanya KUJENGA UHUSIANO AMA NDOA IMARA 💪 Kipi kitakusumbua Ikiwa ushajua UONGO NA UKWELI TOFAUTI YAKE NI IPI 💯 Mwenye UPENDO WA DHATI  💘 ...

Mbinu za Kumchagua Mwenza Ambaye Hawezi Kukutelekeza

Image
Chagua mtu mwenye msimamo Muda aliotumia mpenzi wako kudumu katika uhusiano wake uliopita unaweza kukupa ishara ya nguvu ya mtu kudumu na wewe; Unaweza kutumia njia hii kama kipimo cha matarajio ya uhusiano wenu mpya. Ikiwa, kwa mfano, mwenza wako anayetarajiwa alikuwa na mahusiano kadhaa ambayo yalidumu kwa muda mrefu takribani yenye utulivu wa miaka miwili au zaidi, hii inaelezea uwezo wake mzuri wa kujitoa. Kwa upande mwingine, mtu ambaye ana historia ya uhusiano usio thabiti, wa muda mfupi lazima aonekane kama hatari hata kama atatoa kile kinachoonekana kuwa ni sababu za halali. Kamwe haiwezi kuwa kosa la mtu mwingine kila mara anapovunja uhusiano. Chagua mtu mwenye mfano mzuri: Kwa mfano, kuchagua mtu kutoka nyumba iliyovunjika, sio aibu. Lakini unaweza kutaka kujua jinsi mtu huyo alivyotatua maumivu hayo. Baadhi ya watu huwa wamejifunza kuwa njia bora ya kutatua tatizo ni kukata tamaa. Tumaini kuwa mtu huyo amejifunza na kutofautisha mambo mengi kutoka kwenye makosa ya ...

Namna ya Kumpandisha Nyege Mwanamke

Image
Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka tayari kwa kuanza kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kuona mwili wa mwanamke ukiwa mtupu. Mwanaume wa namna hii huwa hawezi kumfikisha mwanamke kwani mara baada ya kumuingilia mwanamke ambaye hayupo tayari kuingiliwa kimwili kwa kuwa hajaandaliwa, mwanaume hujikuta anafikia mshindo ndani ya sekunde kadhaa na hata akitaka kuzuia bao hushindwa kufanya hivyo, hivyo hujikuta amemaliza haja zake za kimwili na kumuacha mwanamke pengine akiwa hata wazimu haujampanda na kwa bahati mbaya aking’amua hushindwa kurudia tena tendo kwani haitasimama tena. Wataalamu mbali mbali wa mapenzi wanabainisha ya kuwa wanaume wenye kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke huweza kujizuia kufika mshindo mapema na hivyo hudumu kifuani kwa muda mrefu na hata kufanikiwa mfikisha mwanamke kileleni zaidi ya mara ...

ILA KASORO UIONAYO KWA MWENZA WAKO HIYO NDIYO MTU MWINGINE ANAITAFUTA ILI AFURAHIE UHUSIANO/NDOA YAKE💯

Image
Hakuna aliye mkamilifu ila tunadumu katika IMANI kwamba:- 👉  TUBEBEANE MADHAIFU IKIWA YAPO AMBAYO UNAONA WALAU YALIKUWA KIPAUMBELE CHA KUHITAJI MWENZA WAKO. Safari ya kumtafuta aliyekamilika kwa  💯 % niamini ndani ya safari yako hutaweza kumkataa ama kumkwepa ajaye mbele yako ⛔ Kadri unavyotumika ndivyo na THAMANI YAKO INAZIDI KUSHUKA huku ukijidanganya aliye sahihi bado hujampata 😂 😂 Kupendwa ni bora zaidi kuliko wewe KUMPENDA kwa sababu ni rahisi mno kwako KUMPENDA mtu ambaye ANAKUPENDA kuliko kama UKIMPENDA mtu ambaye yeye HAKUPENDI Maana yake utakuwa unateseka kwa IGNORANCE zake kwako 😭 😭 Ukibaini ANAKUPENDA halafu ndani yako Kuna hali ya kwamba wewe huhisi hali ya kumhitaji niamini HUYO ATAKUPA PUMZIKO LA MATESO YA MAPENZI 💯 Mara nyingi tunajikuta katika MAUMIVU YA MAHUSIANO AMA NDOA kwa sababu tu UNALAZIMISHA KUPENDWA wala sio kwa sababu Wewe UNAMPENDA ⛔ Uwiano unaotafutwa na Mtu aliyempenda Mtu ni kwamba:- 👉  KWANINI HARUDISHI UPENDO KAMA NINAVYO...

MWANAMKE *👉🏻USAFI WA KITUMBUA*

Image
*DARASA LA MAHUSIANO & MAFUNZO YA NDOA NA STORY* DOCTOR LOVE  ❤  0658247651 Mwanamke jitahidi kuwa msafi ili mumeo atamani kila time...kuna wanawake wengine mmezidi uchafu mnakosha vitumbua vyenu nje tu tabia hiyo muache mtakimbiwa na waume zenu.... 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 Mume akisogea kutaka kula kitumbua kinamshinda kwa harufu mbaya..usiwe hivyo mwanamke mwenzangu...kwanza mwanamke mwenye mume anatakiwa kwa ck mara 3 kuoga na kila unapooga chut-ama na tia kidole chako usafishe ndani...utoe utoko wote uhakikishe kidole chako kinatoka kikavu hakitelezi wala hakina ucchafu mweupe..hapo ndio utakuwa umetakakata.. 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 Vaa nguo jitie misk pembeni na juu na ndani ili unukie..hata mumeo akikutaka saa yyt uko safi na unanukia mana mume akitaka mambo yake atazami time muda wwt tu ule..apo.mwanamke huwa huoni haya...sio umwambie mumeo ngoja niende chooni... iyo ni ila kwako mwanamke.. 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 🌸 Mwanamke mchafu utamjua tu mume akiingiza mt...