ILA KASORO UIONAYO KWA MWENZA WAKO HIYO NDIYO MTU MWINGINE ANAITAFUTA ILI AFURAHIE UHUSIANO/NDOA YAKE💯


Hakuna aliye mkamilifu ila tunadumu katika IMANI kwamba:-
👉 TUBEBEANE MADHAIFU IKIWA YAPO AMBAYO UNAONA WALAU YALIKUWA KIPAUMBELE CHA KUHITAJI MWENZA WAKO.
Safari ya kumtafuta aliyekamilika kwa 💯% niamini ndani ya safari yako hutaweza kumkataa ama kumkwepa ajaye mbele yako
Kadri unavyotumika ndivyo na THAMANI YAKO INAZIDI KUSHUKA huku ukijidanganya aliye sahihi bado hujampata😂😂
Kupendwa ni bora zaidi kuliko wewe KUMPENDA kwa sababu ni rahisi mno kwako KUMPENDA mtu ambaye ANAKUPENDA kuliko kama UKIMPENDA mtu ambaye yeye HAKUPENDI Maana yake utakuwa unateseka kwa IGNORANCE zake kwako😭😭
Ukibaini ANAKUPENDA halafu ndani yako Kuna hali ya kwamba wewe huhisi hali ya kumhitaji niamini HUYO ATAKUPA PUMZIKO LA MATESO YA MAPENZI💯
Mara nyingi tunajikuta katika MAUMIVU YA MAHUSIANO AMA NDOA kwa sababu tu UNALAZIMISHA KUPENDWA wala sio kwa sababu Wewe UNAMPENDA
Uwiano unaotafutwa na Mtu aliyempenda Mtu ni kwamba:-
👉 KWANINI HARUDISHI UPENDO KAMA NINAVYOMPENDA🤭
Vita ndo huanzia hapo, Kuitafuta BALANCE YA UPENDO NGW’ANA WANHE UTAMALIZA VIJIJI ukitafuta wa kubalance na wala hutampata mwisho kabisa ni KUYALIPIZA MAPENZI KWA WALE AMBAO WATAKUPENDA NAWE HUWAPENDI😂😂
Chukuwa hatua kuikataa roho ya KUTAFUTA MTU SAHIHI bali utafute UPENDO mahali ulipo na ukifanikiwa kuuona usisubiri UUPATE ila ufuate na ukaukumbatie na UUTUNZE kama utunzavyo mboni zako, Ni nadra KUPENDWA ila wewe unao UPENDO je ni nani ataheshimu PENDO lako kwake?
Juhudi ya KUPATA AMA KUMILIKI inaanza na wewe ndipo umshirikishe MUNGU kukupa kibali cha UTAMBUZI🙏
Sio kila umuonaye ANAFAA KUWA WAKO LAKINI SIO KILA UMTAFUTAYE ANAFAA KUWA WAKO Muda mwingine wanakuja watu kutupa KUFAHAMU tofauti ya UKWELI NA UONGO.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
utamuzaidiapp





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link