SHANGAZI NAE ANATAKA-07
ilipoishia " wakati anataka kutoka kuelekea jikoni shangazi akamwita, “we Kidawa njoo, nifwate chumbani” shangazi aliongoza chumbani kwake akifwatiwa nyuma na mschana wakazi kidawa, walienda wakasimama karibu na mlango, wa shangazi" Kidawa, kama unataka kuendelea kukaa hapa kwangu, naomba unayo yashuhudia hapa yahache hapa hapa, kingine, usisubutu kumsogelea Jayden, ata akikutaka husi kubari, yani bora uje uniambie” aliongea shangazi akionyesha kuwa anamaanisha anachokisema, huso wake haukuwa na dalili ya utani ata kidogo, kama alivyo mzowea “sawa mama” aliongea Kidawa akionyesha uoga, ENDELEA.... Baada yakuongea na mschana wakazi, shangazi akirudi mezani akiwa ametanguliwa na Kidawa, ambae alipitiliza jikoni, na shangazi akaenda moja kwa moja kwenye meza ya chakula alipo mwacha Jayden akaakwenye kiti ambacho kilitazamana na kiti alichokaa Jayden, nakuwafanya shangazi na Jayden watazamane uso kwa uso, bado walikuwa wanaoneana aibu kidogo kutokana nakitendo ...
Kali Sana
ReplyDelete