MTU ASIYE NA UPENDO WA DHATI HUJA KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA KWA SABABU ZAKE UKIONA AMEDUMU NAWE HAJAKAMILISHA MALENGO NA YAKIKAMILIKA ATAONDOKA💯


UPENDO WA DHATI ðŸ’˜ ni agano la MUNGU kwa Wana wa adam, kwa vyovyote vile kila Mmoja anawajibika kumpenda mwingine lakini pia nae anayo haki ya KUPENDWA.
Nazungumzia ule UPENDO usio na sababu wala kuangalia hitaji lako binafsi ila UJITOE BILA KUANGALIA GHARAMA YA UPENDO UNAO MPENDEA MWINGINE ðŸ’ª
Ni bahati kuuona UPENDO WA DHATI ðŸ’˜ hasa kwa sayari hii ambayo kila mtu analilia FURAHA YAKE BINAFSI ðŸ˜­ðŸ˜­
Mwenye UPENDO WA DHATI ðŸ’˜ huja kwa kuangalia usalama wa NAFSI yake wala hafikirii ni namna gani utalipa UPENDO ANAOKUPA💯
Muongo wa MAPENZI akiisha ona huendani na hitaji lake kwako lazima ajaribu kuyapindua MAPENZI ili aone mapokeo yako😂😂
Fanya roho ngumu msaidie kuyapindua ili akuondoke uendelee na maisha yako, amini safari yako baada yake ni nzuri ajabu Maana elimu uloipata kwake itakufanya KUJENGA UHUSIANO AMA NDOA IMARA💪
Kipi kitakusumbua Ikiwa ushajua UONGO NA UKWELI TOFAUTI YAKE NI IPI💯
Mwenye UPENDO WA DHATI ðŸ’˜ ni muoga kupoteza akipendacho, Huyo ndiye wa kukupa hakika ya AMANI yako.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria ðŸ”¨
utamuzaidiapp





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link