USIVUNJE UHUSIANO/NDOA YAKO KWA SABABU YA PENZI ULILOKUWA UNALI-WISH⛔️
ULIYE NAE NI ZAIDI YA ANAYEKUJA KWANI STAREHE YA KITANDANI NI KWA DAKIKA LAKINI UPENDO NI WA KUDUMU💯 Mapenzi ni kama kupenda taarifa za habari ama matukio kupitia GAZETI, INSTAGRAM, FACEBOOK na MENGINEYO Muda mwingine unahitaji taarifa tofauti kwa uandishi lakini maana ya UJUMBE NI ILE ILE Ila UPENDO ni jambo adhimu mnooo, Ndo maana Wengi tunajikuta TUNALILIA WATU kisa Mapenzi Hatari kubwa DUNIANI ni kumpoteza Mtu uliyejenga nae DHAMANA MOYONI halafu kisa eti hakupi raha unayoisikia kwa mashoga ama marafiki Wakati unamuacha automatically ataumia sana, Pengine hata akaanza kutengeneza namna nzuri ya kujiponya, wakati huo wewe utakuwa umejipa TUMAINI LA PENZI ULITAKALO huku ukiwa umepofuka kwa mahaba ya mpito, Niamini hakuna Mtu mke ama Mtu Mme anampenda Mke au Mume wa Mtu Anayesaliti penzi ni FISADI WA MAPENZI ametawaliwa na ubinafsi pamoja na tamaa kwa lugha fupi ANA HISIA ZEMBE Madhaifu hata YAWE makubwa kiasi gani kwenye MAHUSIANO ama NDOA yako uyabebe kama yalivyo, Ma...