USIYAHUKUMU MAPENZI KWA AKILI 🧠 BALI SUBIRI HUKUMU YA MOYO KUWEZA KUACHANA NA MTU ULIYEMPENDA💯


Macho👀 ni madanganyifu, Masikio👂ni machonganishi hata kupelekea akili kukosa ustaarabu hata kuanza kutawanya chuki ndani ya NAFSI pamoja na MOYO😭😭
Na hapo ndipo anguko la UPENDO 💘 kuanzia, Mtu uliyempenda kwa MOYO na NAFSI yako haondolewi kwa vita ya IMANI⛔
Uaminifu hauji Kwenye maamuzi ya NAFSI ama UTASHI WA MOYO bali ni matendo yatokanayo na mapokeo ya MACHO👀 pamoja na MASIKIO👂ndo maana ni ngumu MOYO kukubari ya kusikia, kuona ila ni mpaka Moyo wenyewe uanze hofu inayotokana na HISIA YA USALITI hapo ndipo Mtu anaweza kusema IT'S OVER💯
Kusema IT'S OVER kwa kuona ama kusikia haitoshi kuwa ndo MOYO AU NAFSI vimefika mwisho, hiyo ni akili pamoja na hali ya kujaribu KUJITUTUMUA ila tatizo lipo pale paleeee😂😂
Wengi tunajikuta katika MAUMIVU kwa kuangalia ama kusikia mienendo ya wapenzi wetu, bila kujali ni UAMINIFU ama ni USALITI lililo kuu Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA NI IMANI kinyume cha hapo HAKUNA MKAMILIFU💯
Uambie MOYO wako jinsi UNAMPENDA mwenza wako, Uulize MOYO wako unakosea wapi ili mwenza wako awe kama ulivyotarajia, jichunguze tabia yako ujue mambo yanayomkera mwenzako na baada ya hapo pima MAKOSA yako, Pima MAKOSA ya mwenza wako kisha JISAHIHISHE na ndipo uweze kusubiri mabadiliko ya upande wa Pili, Ukifanikiwa haya UMESHINDA💪 VITA YA MAPENZI.
Image may contain: one or more people and outdoor





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link