DUNIA 🌏 TULIYOPO SASA HAKUNA HAKIKA YA UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO AMA NDOA WENGI WAPO HUMO KUFICHA TABIA ZAO MBOVU💯


Wenza wengi wanalia juu ya UPENDO 💘 wakati huo huo anaelia nae sio Mwaminifu kwa mwenza wake, Kila mmoja na namna anavyoumia, Zamani DUNIA ilikuwa kama kijiji kwamba ni ngumu mnoooo mtu Mke ama Mtu Mme kusaliti MAHUSIANO/NDOA yake, Tofauti na Sasa kwamba hata ukimbana vipi SIMU 📱☎️ ama computer 🖥 inatosha kumfanya AKUSALITI😂
Zamani UHURU wa MAHUSIANO ama NDOA ulitajwa Kwenye UAMINIFU lakini kwa sasa UHURU unatajwa kwa UBINAFSI na hapo ndipo anguko la USALAMA WA PENDO hutoweka💯
Mahusiano ama ndoa maana yake ni kukubari uwe Kwenye MILIKI ya mtu uliyeamini UNAMPENDA na ndivyo ilivyo kwa upande wa Pili, Mnapokuja katika UBINAFSI kwamba kila mmoja ANAPASHWA kufanya mambo yake bila bughudha hapo ndipo maana ya umoja wenu unatoweka, Mtu yupo tayari kukosa AMANI NA FURAHA kwa simu kuishiwa bundle ama kuharibika kwa😂
Mahusiano ama ndoa nyingi zinatunzwa na MITANDAO YA KIJAMIII mtu Mke ama Mtu Mme akiwa na upweke kidogo akiingia WATSAAP akabadili ka PROFILE PICTURE 🖼 akiona HELLO 👋 masikio👂 yanamsimama kama popo🦇
Hapo hawazi cha Mke wala cha MUME😂😂 maana tayari kapata wafariji,
Waliofanikiwa kujenga DHAMANA YA UPENDO 💘 KWA WENZA WAO ni wale wanaojua kukabiliana na mabadiliko ya mood za wenza wao na sio kutafuta FARAJA mitandaoni💯
Mahusiano ama ndoa ikibebwa na mambo yatokanayo na FARAJA siku zote huwa haidumu, Kama kweli UNAMPENDA simamia ahadi zako kwake, itakuwa rahisi kwake kulipa yale umtendeayo, Kama unajaribu kutafuta FARAJA kwa MITANDAO YA KIJAMIII niamini utaliwa na usione faida yake, Maana Mahusiano yanayokuja kwa ATTENTION YA WATSAAP huisha kama vile Picha yako ikipitwa na mvuto ama jumbe zako kuzoelekea.





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link