MWANAUME ANGEMPENDA MWANAMKE KWA MOYO π WAKE WALA ASINGEACHA KURIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA ⛔
Mwanaume ni sawa na mgonjwa wa kisukari πππ
Yaani ni kweli AMEOAπ©❤️π¨ ila kuacha kupata hamu kwa Mwanamke mzuri zaidi ya mkewe ni kama DHAMBIπ€¦♂️
Ndo maana nikamlinganisha Mwanaume na mgonjwa wa kisukari, ni kweli ametakiwa kuacha vitu vitamu ila akiona FANTA anameza mate π
Tatizo sio UZURI WA MWANAMKE ⛔ tatizo kubwa linawapata wanaume ni KUTOMKUBARI MWANAMKE ALIYE NAYE na kuamini katika FARASIπ¦ UKIMPANDA HAKUTISHI MIONDOKO wakati huo huo MWANAMKE aliyemfanya amdharau aliye nae kuna Mwanaume kamkinai hapo ndipo utanielewa TATIZO LA WANAUME SIO UZURI WA MWANAMKE ⛔ tatizo lao kuu KIUππ
Muda wote wanatamani kuonja kila KISIMA bila hata kujua wataleta MADHARA gani kwa aliyepoπ€
Visima vingine ukionja maji yake utahamia na hapo ndipo utanielewa kwamba KULIKO KUONJA ONJA CHIMBA KISIMA CHAKO MWENYEWEπ€

Comments
Post a Comment