UNAMRIDHISHA MKEO/MPENZI WAKO KITANDANI AU UNAJIULIZA KWANINI ANAKUDHARAU WAKATI UNAJIONA UKO SAWA?


Kwenye tendo la ndoa mwanamke anahitaji mwanaume mwenye uwezo wa kumpoteza kwenye hii dunia kwa muda mchache kwa raha za kuzidi!!!
Anahitaji mwanaume anayeweza kuwa too emotional kwenye tendo la ndoa SIO KAMA KUKU jogoo anapojisikia anamkurupusha jike akishamaliza anasepa huyoooo....
Sio kila kitu unasubiri maelekezo kama upo chumba cha mtihani.
Mwanamke hatakiwi kukupa maelekezo ya nini anataka bali wewe kuwa mbunifu wa kumpa raha zaidi ya anavyotaka mpaka aseme baaaasiii inatosha sasa wewe subiri akuulize kwani ndio umemaliza ujibu ndio uone dharau zake!!!....
Kuwa na body supplies na kuzifikia sehemu ambazo hata yeye mwenyewe alikuwa hajui kama zinaweza kumpeleka dunia nyingine......
Mume inabidi uwe creative/mbunifu sio kila siku uelekeo wako unajulikana ni mashariki tu..... Huna unachokiongeza kila siku unafanya marudio tu..eti unauliza nikushike wapi?! Nifanyaje!!!!
My brother kuna muda wa theory na muda wa practical..sasa wakati wa practical unaanza maswali mpaka mtu mzuka unamkata!!!
Inakuwa kama anaanza upya halafu wewe ndio ushafika mwisho wa safari yako.
Mwanamke stimu zake ni sawa na umeme ukiachanisha waya kidgo tu stimu zote zinakata ndio maana niliwahi.kufundisha kwamba tendo la ndoa kwake huandaliwa asubuhi unapotoka kwa kauli nzuri,upendo na amani.
Sasa wewe umekomaa na maswali utafikiri unaulizia vyumba vya kupanga wakati ulishamuudhi bila kutafuta suluhu ili kuweka mambo sawa,utakuwa unambaka kwenye tendo la ndoa sasa..!!!!!
Pia ukumbuke hisia zake hujaa taratiibu kwa maneno matamu na sio kutumia nguvu nyingi bila utaalamu.Mwanamke huchukua dakika 15-30 kuwa tayari kuanza tendo akikutana na fundi wa kuamsha popo wakati sisi wanaume hata sekunde 15 zinatosha kuamsa dudeeee na kusongesha goma....
Pia ukimaliza kumpa haki yake sio unagekia ukutani unakoroma kama genereta bovu la kichina wakati unatakiwa uendelee kumpa maneno matamu huku unampetipeti taratiiibu kushusha homoni zake zinazoshuka taratiiibu kama zilivyopanda mpaka asinzie,umlaze unono ndipo ulale babu weeeee!!!
KUWA MBUNIFU ACHA KUJIDHARAULISHA....!!!





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link