KINA DADA NIONGEZE SAUTI WAU MTAJIREKEBISHA


Usibebe mimba mtu ajielewi leba sio mlimani city😂😂🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Umebeba mimba badae unasema huyu mwanaume kanitumia kanidanganya..sasa dada angu unabeba mimba ya mtu kasema tena kwa mdomo tu ntakuja kwenu nakupenda siwezi kukuacha yaani hata uakika wa maisha nae una unatoa zamana ya mwili kuingia leba nusu kufa kule kisa mwanaume mweu tu ambaye katumwa na shetani bomoa maisha yako





Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link