CHUKUA HII...........

Image may contain: 1 person, standing
Suala la maumivu katika mahusiano yako linakuhusu wewe, unaweza kuamua sasa uachane na maumivu, kuamua uwe na furaha sasa au usubiri baada ya miaka mitano ndiyo uanze kutafuta faraja. Watu wengi ambao wanakuja kuomba ushauri kwangu wanakua wameshachelewa.

Kwamba wamewaendekeza wapenzi wao kiasi kwamba sasa hawawezi kuwabadilisha tena naishia kuwaambia kuwa achana naye. Najua kweli shilingi elfu kumi ni nyingi yes lakini ukilinganisha na gharama za kutelekezewa watoto ni kubwa sana.

Unaweza usipate majibu yote lakini nilazima utafute sehemu ya kuanzaia. Nilazima utambue kuwa una tatizo na ulitafutie ufumbuzi. Mume wako au mpenzi wako hawezi kubadilika kwa wewe kuvumilia, hawezi kubadilika kwa wewe kumshitaki kwa Mama yake mzazi ambaye huyo Mama naye anamtegemea.

Yaani ni sawa umshitaki bosi kwa secretary wake kua anakunyanyasa hawezi kufanya chochote kwani kula yake inatokana na bosi. Lakini kuna namna nyingi unaweza kuwa na furaha bila kuhangaisha ndugu, kuna mambo madogomadogo yanakuikera hembu yafanyie kazi sasa kabla hayajawa makubwa.




Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link