WASICHANA MNAOTOA NYUMA MSIDHANI NDO NJIA YA KUZUIA MCHEPUKO
Wasomaji wetu karibuni tena kwenye safu yetu ya mahusiano tuweze kujifunza mambo mbalimbali.
Leo nina jambo moja ambalo ningepende kuwaelimisha wanawake wenzangu naomba uweakini kunisikiliza pamoja na kuelewa.
Kuna baadhi ya wanawake hufanya mapenzi kinyume cha maumbile kwa ajili ya kutaka wapendwe zaidi.
Bila shaka umeniekewa yaani uboo unaingizwa sehemu ya haja kubwa ili kumfurahisha mpenzi wake huku ukijua ni sehemu ya kuongeza upendo kwake.
Sasa kama unafanya mchezo huo kwa kulenga kuwa utapendwa juu unazidi kupotea.
Hivi unaelewa madhara ya kufanywa nyuma wanawake wenzangu?? Au unafanya tu ili kumridhisha mwanaume wako.
Mwanaume huwa hawaridhishwi kwa kinyume cha maumbile unaweza ukajipinda kutoa tigo yako na mwisho wa siku ukaachws na madhara ukayapata.
Kama mwanaume wako ameshindwa kukuweka moyoni hata umpe nyuma ama ubinuke staili zote huyo kaa ukijua atakwenda kwa mwingine.
Kuna mwanamke mmoja nilimsikia akisema mume alikuwa anamuomba mchezo wa nyuma kwa muda mrefu ikabidi ampatie asije kutoka nje ya ndoa.
Sasa nataka nikuambie tu mwanamke mwenzangu mwanaume kama huyo alishatoka nje ya ndoa yako siku nyingi na kuanza kupewa hiyo michezo ya nyuma hivyo ameshanogewa anashindwa kuzuia hiyo tabia na ndio maana anakuomba umpatie.
Usije kupoteza muda wako ukidhani kumpa huo mchezo ndio kumlinda mpenzi wako wanaume hawafugiki ndugu yangu ukibana Bagamoyo wenzako wanavukia Kivukoni.
Hivi wanawake wenzangu nani kawaloga nani kakuambia mwanaume anaongeza upendo kwa mchezo wa nyuma? Embu acha kujitia aidu na kujiongezea magongwa ya kujitakia.
Na endapo ukiona mwanaume wako anakuomba huo mchezo achana naye hapo hakuna mwanaume ni matatizo.
Mwanaume anayekupenda na kukuthamini nataka kukuambia hawezi kukuomba huo mchezo hata iweje.
Kuna mambo ya kuangaika nayo katika mahusiano lakini sio kulazimisha kutoa tigo yako ili kuongeza upendo kwa mpenzi ama kumfanya asitoke nje ya penzi lenu.
Yapo mambo mengi ya kumdhibiti mwanaume wako asikwende kwa mchepuko bila kutoa tigo yako.
Wanawake wenzangu kama mwanaume wako kashindwa kukuweka moyo hata umpe mbele na nyuma hawezi kupenda. Hapo unatakiwa kujiongeza njia mbadala ni kusepa.
Ingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye kweli anakupenda kwani atakujali na kukuheshimu na hawezi kukutamkia mambo ya ajabu kama nilivyokueleza hapo awali.
Comments
Post a Comment