Dalili za mwanaume asiyekuwa na mapenzi ya kweli


1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo.

2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi.

3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa.

4. Hajali matatizo yako.

5. Mawasiliano sio mazuri, hana tabia yakukujulia hali mara kwa mara.

6. Hutishia kuachana mara kwa mara.

7. Hana mipango wala malengo yeyote kuhusu maisha yenu ya badaye.

8. Anapenda starehe na kujirusha na wewe akiwa na mashiko.

9. Hakutambulishi kwa ndugu zake wa karibu, na anaweza asikupeleke hata anapoishi.

10.Haonyeshi hisia zake kwako mbele za watu.

11.Anakutafuta akiwa na shida zake akimaliza wasalimie kigoma.

12.Mbinafsi anajifikiria yeye tu.




Comments

Popular posts from this blog

SHANGAZI NAE ANATAKA-07

join sugar mumy and dating whatsapp group link