Posts
Showing posts from August, 2019
USHAURI: NIMESHIKA SIMU YA MPENZI WANGU, SINA HAMU
- Get link
- X
- Other Apps
Mimi ni kijana umri miaka 26 mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya binafsi ,japo hatujaoana lakin tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi naishi Ubungo Riverside, Weekend hii nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi". Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sony yaan sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote. Niliamua kufungua whatsApp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake cha ajabu nikakutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume coz niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitsha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurah mno nilipokuingizia nyuma" halafu mchumba wangu alisms akajibu". Mwenzio sijazoea nyuma". Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema " Mwezi wa 6 inabd nikutie mimba".Daah niliishiwa ...
JIHADHARI NA MAADUI WA PENZI LAKO
- Get link
- X
- Other Apps
N I Ijumaa nyingine murua. Siyo mbaya kwa wanajamvi hili, ndugu, jamaa na marafiki kushirikiana katika mapenzi kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia siyo mbaya kujuliana hali na kutambulishana mambo ya msingi yanayoendelea kwenye uhusiano wako na mpenzi wako. Hata hivyo, kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa sumu ya uhusiano wako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya kimapenzi. Kuna mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa au wazazi kuwa kuvuruga penzi lako. Kwanza kabisa ni kujitahidi kudhibiti taarifa zenu kwenda kwa wengine; kadiri unavyoelezea uhusiano wako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Katika eneo hili, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu masuala yako ya uhusiano kabla hujaanza kutafuta m...
MAMBO YA KUFANYA MPENZI WAKO AKIKUFANYIA KISIRANI
- Get link
- X
- Other Apps
KWA watu waliopo katika uhusiano wa kudumu, watakubaliana na mimi kwamba kuna wakati huwa inatokea mwenzi wako anaamua tu kukufanyia kisirani, na hii inawahusu zaidi wanawake, hataki kuzungumza chochote na wewe. Kila unachomuuliza anakujibu kwa mkato kisha anaendelea na mambo yake, hataki kushirikiana chochote na wewe na hata haki yako ya msingi huipati! Wengine huweza kudumu kwenye hali hii kwa muda mrefu na kama usipokuwa makini, hii inaweza kuwa sababu itakayowaingiza kwenye matatizo makubwa zaidi. Bahati mbaya ni kwamba ni wanaume wachache sana wanaoelewa nini cha kufanya inapotokea mwanamke unayeishi naye, au unayempenda sana anakubadilikia kiasi hiki. Yaani unamuona kabisa hayupo sawa, hakuchangamkii, hataki kuzungumza na wewe lakini unapomuuliza kama ana tatizo lolote, anakujibu kwamba hakuna tatizo lolote na yupo sawa. Wengine hudhani kwamba mwanamke husika ameanza dharau, amepata wanaume wanaompa jeuri au hampendi tena! Kama nilivyosema, ukishindwa kujua hali yake imesabab...
Mmeachana, Umeachwa ila moyoni bado unahisi unampenda, fanya haya umrudishe na kutengeneza nafasi ya kuwa naye tena.
- Get link
- X
- Other Apps
Hivi karibuni msichana wako ameamua kuachana na wewe au labada wewe ndie uliyeamua kumuacha naye ila baada ya maamuzi hayo kupita na kufanyika, moyoni unahisi upendo wako juu yake bado umeutawala moyo wako na bado anaumiliki tena kwa sehemu kubwa sana na hauko tayari kumwachia aende kwa kuwa umeshaona wazi ya kuwa maamuzi uliyoyafanya au yaliofanyika yana makosa makubwa. Waulize wanaume imekuandalia njia itakayokusaidia kurudisha muda nyuma na kuwa naye tena, kukurudishia yule mmoja umpendae ambaye juu yake ndio moyo wako unapokamilika, njia hii itategemeana sana na hali ya mwenza wako mlieachana na jinsi anavyojisikia juu yako kwa kile ulichotenda au kumtendea. #; Yatambue makosa. Unaweza fikiria unachofikiria kichwani mwako ila lazima huyo msichana atataka kujua ni nini kilichosababisha wewe kubadilika, wanawake wa karne ya digitali huitaji majibu ya sababu sababishi ya kile kilichokusababisha ubadilike kiasi cha huo uwamuzi kufanyika, uwe u...
Mahusiano ya kimapenzi ya umbali na jinsi ya kuyafanya yawe ya mafanikio na furaha.
- Get link
- X
- Other Apps
Usipomuona mpenzi wako kwa muda moyo huingia upweke, matamanio ya kumtaka kumuona huongezeka mara dufu, mawazo ya jinsi alivyo na kila kitu kuhusu yeye hukufanya utabasamu na kufurahia uwepo wake kila umuonapo, na hukupa hisia na tamaa ya kutaka kumuona zaidi na kukufanya hitajio la kuwa naye kukuwa na hamasa zako juu yake kuongezeka na kumpenda zaidi. Vivyo hivyo iwapo muda mrefu ukipita bila kumuona mpenzi wako upweke huzidi na moyo huchoka, hamasa na taamaa zinabadilika kuwa mzigo, mawazo mazuri ya kimapenzi na husuda hubadilika kuwa msongo, njisi muda unavyozidi kwenda na ndivyo hamasa ya mpenzi wako ndivyo inavyoisha na kuzidi kushuka, moyo unasahau mguso wake aliokuwa nao kwako, shauku ya kuongea inapungua, kama mlikua mnaongea kila baada ya masaa mawili kwenye simu, masaa yatabadilika na kuwa matatu, yakiwa matatu yatabadilika kuwa siku nzima, umbali unakuwa tena hautengenezi upweke wa kutaka kuonana bali unawafanya mioyo yenu kusahauliana na umbali wa hisia kati yenu...
Unampenda kimapenzi hautaki kumpoteza, ila humuelewi amebadilika.
- Get link
- X
- Other Apps
"Je upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mtu maalumu ambaye hutaki kumpoteza?, Je unapata hisia mbaya na unahisi kunakitu hakiko sawa maana kila ukitaka kumbusu mpenzi wako au kukaa nae muongee hana hisia tena kama alizokuanazo awali, kila kitu anakuwa na kisingizio na mizungusho mpaka unapata hisia labda kuna mtu mwingine katikati?". Nikitu gani unachokijua ambacho wanaume wanakifanya ila wanawake hawakifanyi?, unajua ni nini?, wanaume hupingana na hali halisi katika sehemu mbili za maisha yao, namba moja; huwa hawaulizi njia inaelekea wapi au mahali walipo pindi wapoteapo njia na namba mbili; huwa wanadhani wanawake wote hawaeleweki wala hawaendani nao. Watu hawa kamwe huwa hawajiulizi kwanini baadhi ya wanaume wengine huwezi kukuta wamekataliwa na mwanamke au wameachwa na mwanamke, je inawezekana kwamba baadhi ya watu hufanya makosa kwenye mahusiano na makosa hayo hujirudia kutoka uhusiano mmoja kwenda mwingine?, au inawezekana kwamba uchaguzi wa wanawake kat...
Mwanaume Kiongozi anawavutia wanawake kama sumaku, unajua ni nani na anafanya nini na je wewe ni mmoja wao?
- Get link
- X
- Other Apps
"Ni watulivu, wanajiamini, wakiingia sehemu kila mtu anasimamisha anachokifanya na kugundua uwepo wao, wakiongea watu wote wengine wanawasikiliza, wengine wanataka kukaa nao wawasikie kile wanachozungumzia na kufanya, wanawake wanataka kutoka nao, hawa ni wanaume viongozi." Mwanaume kiongozi anasifa moja ambayo inamtofautisha na mwanaume yeyote yule wa kawaida, yeye ni kiongozi asilia, mkusanyiko wa wanaume wengine unamfata yeye, anaongoza na kuwalinda wote wanaomzunguka. Dunia ya mabadiliko inampa fursa nyingi mwanaumehuyu kiongozi, wakati wengine wanaona tatizo, mwanaume kiongozi katika asilia yake anaona sababu na athari, na anazibadilisha na kutengeneza fursa kwa jamii imzungukayo, anapenda kushinda na siku zote ndivyo alivyo. Haupi kipaumbele muonekano wake, anachojari ni kushinda na kufanikiwa kwa kile anachokifanya kwa wakati huo, chochote anachokifanya watu wengine wanamfuata, wengine wanataka wafanane nae, wananakiri mitindo yake, jinsi anavyoongea na m...
Chameleone Afunguka Harmonize Kufuta Sauti Yake, ‘Sipendi Kukosewa Heshima’
- Get link
- X
- Other Apps
Umeshamboa na kumuuzi Mpenzi wako, Tumia Njia Nzuri ya Kumuomba Msamaha.
- Get link
- X
- Other Apps
"Hakuna kitu hawa watu wa jinsia tofauti wanachokijua kama kununa, na kama upo kwenye uhusiano wa kimapenzi lazima siku ifike mwenzio anapokataa kuongea nawe, inawezekana kosa likawa dogo au kubwa, hata kama hujui ni nini kimesababisha hawa viumbe ndivyo walivyoumbwa, kwao lazima kuna kitu utakosea tu, uwe umemtukana bibi yake au hujamsalimia mama yake lazima tatizo litakukumba tu ." Jopo la Kiumeni.com baada ya kukaa na kufanya utafiti wa kina kwa marefu na mapana limekuandalia njia sita ambazo zitakufanya haya matatizo yasikuumize na kukusumbua sana moyo, njia hizi mbadala zitahitaji juhudi zaidi kutoka kwako na pia itakubidi uwe mbunifu kidogo na saa nyingine itakubidi umeze mate, uvute pumzi na kujifunga kiuwanaume na kitanashati na kukubali ya kuwa umekosea. #1; Tengeneza hali ya kimaongezi. Utajua amekununia ikiwa kila ukimsemesha hataki kuongea nawe na kamwe huwezi kuyamaliza matatizo mpaka pa...