WANAWAKE TU;JIKUBALI NA MTEGEMEE MUNGU UTAFANIKIWA
Maandiko katika kitabu cha biblia yanasema"MWANAMKE AMCHAYE BWANA ATASIFIWA"nikwambie kitu msomaji wangu sikuzote mtu ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu,,atakuwa na ujasiri na imani,,pia mwanamke jifunze hili,usipoteze muda wako kumlazimisha mtu NA usifanye mambo ambayo yatakugharimu kisa tu upendwe,,jitambue na mpe nafasi Mungu,,jiamini kama mwanamke,,jitume acha utegemezi,,kwa kidogo unachopata jitunze,,pendeza,,vaa vizuri,siyo unajichooka hadi siyo poa,,pendeza wakati wote huku ukimtumaini na kumtegemea Mungu,,hakika hutakuwa wa kawaida,,Mungu atakufurahisha tu kwa mumeo na kama hujapata basi atakuja anayeendana na hadhi yako,,acha kujiweka chini jikubali wewe ni mzuri na mrembo.
Comments
Post a Comment