Posts

Showing posts from July, 2019

kelele za mbu hazinyimi usingizi

Image
W ALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi, wareeee reeee! Miye tena niliokosa zipu kwenye mdomo, linalopita mbele yangu naongea tu kwani uongo jamani! Heri yetu tukiamka midomo inanukia wewe je, ukiamka tunaanza kutafutana kama siyo kuulizana shimo la jalala limefukuliwa upya? Au gari la taka limeangusha uchafu!  Ona sasa hadi nimesahau kukusalimia, mzima msomaji wangu wa kona hii ya Shangingi Mstaafu Anti Naa? Kwa uwezo wa manani nina imani wote hamjambo wazima wa afya kama kuna wagonjwa basi tuwaombee na kama kuna aliyetangulia mbele ya haki vilevile, tumuombee apokelewe kwa amani pia apate huruma ya Muumba. Jama-ni leo nataka kuzung-umza na watu wazima wenzangu. Kwa vile ni watu wazima tutazungumza kwa lugha ya kiutu uzima lakini vikinipanda mtaniwia radhi kwa vile siwezi kuuzuia mzuka kama chafya ikija lazima niiachie mwenzangu! Naanza kuongea na wewe unayemnyima raha mwenzako...

MBINU ZA KUAMSHA NGUVU ZA KIUME MARADUFU

Image
Wanaume wengi wa sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha mashine zao kiasi cha kuwa hata mdada awe mkali na mwenye mvuto namna gani amejitahidi sana kumtandika basi bao tatu kisha kitu inalala kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari amekojoaLoo! Zifuatazo ni njia chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu. *AINA ZA VYAKULA Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla. Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo! *MAZ...

UMUHIMU WA KULA NDIZI KATIKA KUJITIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

FAHAMU MISINGI HII YA UVUMILIVU KATIKA NDOA

KWA MPENZI ULIYENAYE UMEPATA , UMEPATIKANA?

Image
M APENZI huweza kumfanya mtu akaishi maisha ya raha mustarehe hasa pale anapompata mtu mwenye penzi la kweli lakini pia usipoyajulia mapenzi yanaweza kukutoa roho.  Wangapi leo hii wamechanganyikiwa kutokana na kukataliwa penzi na watu waliotokea kuwapenda? Wangapi wamejiua baada ya kuachwa na wapenzi wao? Wangapi wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufasaha kwa sababu wamekorofishwa na wapenzi wao? Hakika ni wengi na kwa maana hiyo basi kama unataka kuishi maisha ya raha, pamoja na mambo mengine hakikisha huchezi kamari kwenye mapenzi, ingia katika uhusiano unaofaa ili mwisho wa siku furaha ichukue nafasi katika kila siku iendayo kwa Mungu. Wiki hii naomba nizungumzie swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza bila kupata majibu sahihi kiasi cha kuwafanya washindwe kuishi maisha ya furaha na wapenzi wao. ‘Nimepata au nimepatikana?’ Hili ni swali wanalojiuliza wengi walio katika uhusiano. Huenda hata wewe ulishawahi kujiuliza swali hili na mpaka sasa hujabaini ukweli wa penzi lake k...

HAKURIDHISHI FARAGHA ? JIFUNZE!

Image
U ZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pale anapokuwa amemaliza tendo. Kinyume na hapo, kukiwa na tatizo katika upande mmoja, furaha ya tendo inaondoka. Mmoja kati ya wapendanao anakuwa na shauku ya tendo wakati mwingine hana. Kitakachofuata hapo ni yule ambaye hajaridhika kutafuta njia mbadala ili kupata tiba ya mapenzi. Kwa kizazi cha sasa, watu wengi sana wamekuwa wakiteswa na tatizo la kutoridhishwa au kutomridhisha mpenzi wake. Mwanaume anaweza kuwa anataka kumridhisha mpenzi wake, lakini anashindwa au mwanamke anataka kumridhisha mpenzi wake, lakini inashindikana. Wanapokutana  faragha, kila mmoja anakuwa na nia njema kabisa kutaka kukamilisha tendo la ndoa, lakini kwa tatizo linakuwa kwa mmoja wao na kuwafanya washindwe kufurahia tendo. Mmoja kati ya wampendao anakuwa anawahi kuridhika wakati mwenzake anakuwa bado hajafikia muda wa kuridhika. Hapa ndipo zinapoibuka z...

JE WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HAWEZI KUKUSAHAU KAMWE

Image
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye. 2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda. Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako. 3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali 4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kw...

STAILI ZA KUMLA MWANAMKE MNENE NA MREFU SOMA HAPA

Image
mwanamke mnene husumbua sana kwenye mitindo ya tendo la ndoa kwa kua anakua na mwili mzito hvyo inakua mgumu kuji2ma ktandan na hata mwanaume inakua ngumu kumkontrow kwa mikao unayoitaka kwakua mingne hataweza kumudu na hata mwanaume hatoweza kuimudu. unaposhughulika na mwanamke wa aina hii mikao yake ni mitatu tu ndyo anayo mudu 1).kifo cha mende mwanamke alale chal na mwanaume aje kwa juu yake 2).mbuz kagoma kwenda ni mtindo ambao nwanamke alale kifudifudi na kubinua kiuno chake juu huku akiegemea magot na viwko vya mikono, miguu yake akiwa ameiachanisha na kurud chni kwa kufuata usawa wa mwanaume, mwanaume nae apge magoti kwa nyuma aendelee na mchezo. 3) 71 mkao huu wa 71 wote mnatakiwa mkanyage chin na mwanamke anainama na kushka ukingo wa ktanda, meza, kiti n.k mwanaume abak nyuma amesmama na safar ianze ya utam hyo ndyo mkao itakayo mfurahsha mwanamke wa aina hyo.

KWA VITU KONKI VYA CHUMBANI KWENYE NDOA ZINGATIA HAYA

Image
M   AISHA    yana changamoto nyingi sana ambazo unatakiwa uzitatue kabla hazijayaathiri maisha yako. Huna sababu ya kuchanganyikiwa eti kwa kuwa mke au mume kakuacha, huna haja ya kulia eti kwa sababu unayempenda, yeye hakupendi. Pambana kuikabili hali hiyo na kisha uyaache maisha yako yaendelee.   Mpenzi msomaji wangu, ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba ndoa ni jambo la msingi sana katika maisha ya kila binadamu na ndio maana wapo wanaofikia hatua ya kusema, matukio muhimu katika maisha ya binadamu ni kuzaliwa, kuoa ama kuolewa na kufa. Hata hivyo kuoa ama kuolewa ni heshima katika jamii na ndio maana leo hii wapo wanaofanya kadiri wawezavyo kuhakikisha wanapata watu wa kuwa nao kama mwili mmoja pale wanapofikia umri wa kufanya hivyo. Ikumbukwe kufunga ndoa kuna wakati wake, sio kwamba pale unapojisikia kufanya hivyo basi ufanye hata kama mazingira, umri na hali yako kimaisha havikuruhusu. Lakini sasa, kibaya ambacho nimekuwa nikikishuhudia katika jamii ye...

TABIA 8 ZA WAPENZI WENYE PENDO LA DHATI

Image
MAPENZI ni hisia. Unapompata mtu akakupenda kwa dhati, ni vigumu sana kuyatambua mateso ya wengine wanayopitia kwenye mahusiano yao. Wapendanao wanajiona wapo kwenye dunia yao, wanapokuwa pamoja wanajihisi matajiri hata kama ni kapuku.  Unapokosea kumchagua mwenzi wa maisha mara nyingi unajikuta kwenye mateso mazito na siku zote kati ya mtihani mgumu kuufaulu katika masuala ya uhusiano wa kimapenzi ni kumpata mwenza sahihi mwenye mapenzi ya dhati. Wengi wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano na watu ambao hawana mapenzi ya dhati. Wanateseka, wanajaribu kuwavumilia wenzi wao ili labda pengine wanaweza kubadilika lakini wapi. Mwisho wa siku wanaishia kuachana. Ni vizuri sana kwa wale wanaokwenda kuanzisha mahusiano mapya, wakawa makini sana katika kufanya utafiti juu ya wenza wao. Jiulize, unayempenda ana mapenzi ya dhati? Atakujali? Atakuthamini? Atakupa kipaumbele? Atakuheshimu? Hili linawezekana endapo tu utafanya uchunguzi mapema kwa wakati ule unaoanzisha uhusiano. Mwenye up...

JINASUE HIVI NA MATAPELI WA MAPENZI

Image
W ENGI wameji-kuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati ambao hawakuutarajia.  Ndugu zangu mapenzi yanauma. Yanauma kwelikweli hasa linapokuja suala la kumkabidhi mtu moyo wako ukiamini atakupenda, atakuthamini kama vile wewe unavyomthamini. Unakuwa na matumaini kwamba nipo na mtu sahihi. Mtu ambaye nitafanya naye maisha, mtu ambaye nitadumu naye katika shida na raha, mtu ambaye nitaingia naye kwenye ndoa mwisho wa siku anaingia mitini, inauma sana. Mapenzi ni uwekezaji. Unawekeza nguvu, unawekeza akili, unawekeza maisha. Unapokuwa na mwenzi wako unamuamini. Unapanga naye mipango ya kufika mbali kwani kila ambaye anawaza maisha, lazima atakuwa anaifikiria ndoa na mtu sahihi. Atafikiria familia kwa maana ya kupata watoto, kusomesha na mambo mengine yahusuyo familia. Hiyo ndiyo safari ya wapendanao, inayoanzia kwenye urafiki, uchumba na hata baadaye ndoa. Wahusika wanapoikamili...

KWA NINI WANAUME WANAONGOZA KWA USALITI

Image
UHUSIANO wa kimapenzi ni jambo gumu sana. Ugumu wake unatokana na ukweli kwamba, mwanaume aliyezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti, anakutana na mwanamke ambaye naye amezaliwa na kukulia katika mazingira mengine.   Wawili hawa wanaanza ukurasa mpya wa maisha, kila mmoja akiwa na historia tofauti kabisa ya huko alikotoka, unategemea itakuwa rahisi kwa wawili hawa kuishi bila misuguano?   Jibu ni HAPANA. Kwa lugha nyepesi, hakuna uhusiano wa kimapenzi ambao hauna changamoto na changamoto kubwa zaidi katika mapenzi ni usaliti.   Nimeshawahi kueleza huko nyuma na naendelea kueleza kwamba hakuna kitu kinachoumiza katika uhusiano wa kimapenzi, kama usaliti.   Ni ukweli kwamba licha ya usaliti kuwa jambo baya katika uhusiano, bado watu wanasalitiana kila kukicha.   Wanandoa wanasalitiana, wachumba wanasalitiana na hata wale ambao wapo kwenye hatua za awali kabisa kuelekea kwenye uchumba, nao wanasalitiana. Si ajabu hata wewe msomaji wangu, siku chach...

UKITAKA PENZI LAKO LIDUMU, FANAYA HAYA TANGU MWANZO!

Image
H AKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo ambao wanateswa na mapenzi, wanatamani siku zirudi nyuma ili warudie kufaidi mapenzi kama ilivyokuwa siku za mwanzo wakati wanaanzisha uhusiano. Hata hivyo, ni wachache wanaojua nini cha kufanya unapoanzisha penzi jipya ili hisia na msisimko unaoupata, vidumu kwa muda mrefu na uendelee kuyafurahia maisha ya kimapenzi. Mapenzi ni kama nyumba, ukijenga msingi imara, nyumba yako itakuwa imara na ukijenga msingi legelege, usitegemee nyumba yako kuja kudumu baadaye. Kama upo kwenye mapenzi mapya na unatamani raha na msisimko unaoupata leo udumu, yapo mambo kadhaa ya muhimu ya kuzingatia. Kujengeana heshima; Wanandoa, wachumba au wapenzi wengi, hulalamika kwamba wenzi wao hawawaheshimu, hawana shukrani na ndiyo maana hawafurahii maisha yao ya kimapenzi. Unapokuwa kwenye hatua za mwanzo za mapenzi, jenga heshima kwa mwenzi wako bila kujali umri, cheo au hali ...

WANAWAKE MSING'ANG'ANIE WANAUME AMBAO HAWAWATAKI

Image
Zaidi ya watu wa 5 wameshakueleza kwamba jamaa hana time na wewe na ameshachumbia mtu mwingine hukuamini. Mungu sio Mwigulu Nchemba, siku 1 akiwa kwenye mishemishe za kuchepuka simu yake ikajipiga ukamsikia anaongea na msichana mwingine na baada ya muda ukawasikia wanapiga kwinchi kwinchi Live wakati alikuaga muda huo yuko kwenye kikao cha harusi. Mungu akaamua kukuonyesha kitu live. Ulipomuuliza akaruka futi elfu 6 kwamba unamsingizia una kila ushahidi kwamba huyo jamaa ni kimeo ila kwa sababu akili yako ina ujibwa ulezi uliochanganywa na alizeti ukamsamehe, sasa leo amekuoa na tabia zilezile walizokuonya rafiki zako zimeendelea, unashinda unalia na kuimba Pambio la bwana tenda miujiza usiaache mpaka mwaka huu upite. Alishatenda muujiza kukuonyesha ushahidi hukutaka kumsikia, ukapenda zaidi matarumbeta ya harusi bila kujali ndoa itakuwaje. Pole hakuna muujiza hapo, jipigie matarumbeta kwa kujitendea muujiza. Kamwe usidharau Mungu akikuonyesha (clear Signs) kwamba mtu uliyenaye ni...

MAMBO YATAKAYOMFANYA MWANAMKE ASITOKE NJE YA NDOA

Image
Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati. Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia vidonda vya tumbo. Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata wapenzi wa ukweli lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha penzi, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani. Kwa kifupi ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia utundu na ubunifu wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake. Ninapozungumzia hayo, namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai. Faragha ni eneo m...

UNAIKUMBUKA AHADI YAKO WAKATI UNAANZISHA UHUSIANO?-2

Image
M ARAFIKI hili ni somo muhimu sana kwa wapendanao, kujua ahadi ambazo zinaweza kuwa na nakshi katika mapenzi na zile ambazo huleta migogoro. Tulianza kwa uchache wiki iliyopita, hebu sasa twende tukaone ahadi mbalimbali zinazotolewa na wenzi wengi wa siku ambazo mara nyingi huleta madhara. MAMBO SAFI! Baadhi ya wanaume wanakutana na wenzi wao kwa mara ya kwanza, ili wasidharaulike huanza kujisifu kwamba wanatoka katika familia zenye uwezo. Kwa kutumia njia hii, huwa na imani kwamba watakubaliwa kwa urahisi zaidi kwa vile wanatoka katika familia zenye uwezo mkubwa kifedha. Hili ni tatizo katika siku za mwanzo wa uhusiano, kwanza kwa mwanamke mwenye akili, atakudharau badala ya kukupa heshima. Atakuona wewe ni mwanaume tegemezi ambaye unajisifu kwa sababu ya mali za familia. Hata hivyo, hii si sifa kubwa ambayo itamfanya mwanamke (mwenye uelewa) akukubali, kwa sababu unaonekana una majigambo. Mwanaume thabiti hazungumzii juu ya familia yake. Mtu wa aina hii humuahidi mpenzi wake kums...

JINSI YA KUAMSHA MAHABA NA MAPENZI KATIKA MAHUSIANO

Image
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana. Dumisha faragha katika mahusiano yenu Hakikisha kunakua na faragha katika mahusiano yako na mpenzi wako. Vile vile itahakikisha kuwa wewe na mpenzi wako mnakuwa na wakati wa kutosha kustarehe bila wasiwasi. Usiruhusu siri zako na mwanamke zitoke nje kati yenu. Tenga muda wa kustarehe pamoja Ili kudumisha mahusiano na mwanamke lazima kuwepo na mda wa kuwa pamoja na kufanya mambo yenu mnayoyataka kwa kuridhika bila kupungukiwa na muda. Kwa mfano ni muhimu kupumzika mapema kitandani ili kuhakikisha mnakuwa na wasaa wa kutosha wa kufanya mapenzi. Ongeeni pamoja kwa uhuru kuhusu suala la tendo la ndoa Ni muhimu kujadili na kukubaliana na mwanamke kuhusu swala la kufanya mapenzi. Ni vyema muongee kuhusu suala la mapenzi na jinsi ya kuwasha moto wa mapenzi baada ya kuchokana. Mwanamke anatakiwa apewe uhuru wa kusema kile anachokihitaji. Pan...

MAMBO AMBAYO MWANAMKE HAWEZI KUYAWEKA WAZI KATIKA MAHUSIANO

Image
Unapoanzisha mahusaino na mwanamke yeyote yule fahamu fika yapo baadhi yavitu hawezikukwambia na baadhi ya mambo hayo ni; 1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani. 3. Kasoro zako Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza. 4. Mapungufu yake Mwanamke...

NJIA ZA KUMFANYA MWANAUME APAGAWE NA PENZI LAKO

Image
Nataka niwape darasa bomba ambalo linaweza kukufanya ukafurahia penzi au ndoa yako na kumfanya mwanaume wako akupende zaidi na kumteka kimapenzi asitamani mwingine zaidi yako,nadhani hakuna anayeingia na aliyeko kwenye ndoa na anapenda kusalitiwa,kila mwanamke anapenda kuonekana bora hivyo unapaswa kufanya haya ili penzi au ndoa yako iwe bora na imara. Ikumbukwe pia hata wanaume wanapenda sana wapewe hisia kuwa wao ni wa muhimu katika maisha ya wanawake,ukichunguza utaona kuwa wanawake wanaoonyesha uchangamfu kwa wanaume mara nyingi wanajikuta wamependwa na kutongozwa katika muda mfupi.   RAHA YA KUGUSANA NA MWANAUME   Ni kweli kitendo cha mwanamke na mwanaume kugusana kinaibua msisimko mkali sana na mara nyingi huamsha mishipa butu iliyolala kwa uchovu wa kutwa nzima.   Wanasayansi wamethibitisha kuwa kushikana na kugusana ngozi huleta hisia kubwa katika mahusiano ya watu wawili,kile kitendo cha kugusana ,kukumbatiana,kufanya romance ni hatua kubwa ya ongezeko la ku...