Posts

Showing posts from November, 2019

MWANAUME MWENYE SIFA HIZI HUWA NA MVUTO ZAIDI KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI

Image
1. Sura Nzuri Muonekano mzuri kwa mwanaume huwa ni kigezo cha kwanza katika maamuzi ya mwanzo kwa mwanamke lakini hata hivyo huwa ni katika mapenzi ya muda mfupi tu zaidi ya yale yanayodumu. 2. Ucheshi Ucheshi kwa mwanaume si muhimu tu kama wenyewe bali humfanya mwanaume aonekane mwenye akili 3. Mwanaume anayetoa msaada Wanawake hupenda wanaume wanaotoa msaada, wasio wachoyo pale wanapotafuta uhusiano wa muda mrefu 4. Utajiri/Uwezo wa kifedha Ile imani kuwa wanaume wenye uwezo wana mvuto zaidi kwa wanawake ni kweli. Utafiti ulionesha kuwa wanawake huona wanaume wanavutia zaidi pale wanaposimama tu kwenye magari ya kifahari au nyumba, hata kama vikiwa sio vyao. 5. Umri Mkubwa Wanawake hupenda wanaume wenye umri mkubwa kwasababu mara zote huamini kuwa wamekusanya vitu vingi na uzoefu katika maisha. 6. Ndevu Ndevu zimekuwa zikichukuliwa kama zinazokera na kuvutia kwa wakati mmoja – yote hutegemea na mapenzi ya mtu. 7. Wagumu Wakati utafiti wa zamani unasema kuwa wanaw...

NILIMFUMANIA MKE WANGU, BAADA YA MWEZI ANASEMA ANA MIMBA YANGU

Image
Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la. Naombeni ushauri

KWANINI WANAWAKE WENGI WAREMBO WANAISHIA KUWA MICHEPUKO???

Image
Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni baraka na jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wenye sura nzuri na wenye mvuto. Pamoja na ukweli huu, ni wazi na imethibitika kwamba wako wanawake ambao wanahesabu kuzaliwa warembo ni mojawapo ya laana au mkosi kwasababu ya zile hali ambazo wamezipitia hususani katika mahusiano yao ya kila siku na wanaume. Mara kwa mara kumekuwepo na tabia ya wanaume kutamani sana kuwa kwenye mahusiano na wanawake warembo, na hupenda kuwatongoza hao mara kwa mara ingawa moyoni mwao wanawaangalia warembo hawa kama wasichana wa kula nao raha tu “good time girls” na wala sio wake wakuoa. Utakubaliana na mimi labda umewahi kuona mwanaume anakuwa kwenye mahusiano na binti mzuri sana kisura na kiumbo tena wanakuwa kwenye mapenzi kwa muda mrefu tu huku huyu binti akijua mbeleni kuna ndoa, ghafla ukija kusikia huyu kaka anaona unapigwa mshangao kuona wala sio yule binti mrembo anayeolewa. Hii imewaacha mabinti wa aina hii katika ma...

SHIDA WANAZOKUMBANA NAZO WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA

Image
Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani, Lakini mara nyingi hawadumu kwenye mahusiano kwani Wanaume wengi ambao hawana mapenzi ya kweli huwa wanataka kuonja tu na mara nyingi wanakuta kile ambacho hakutegemea hivyo kukimbia...na kumwacha mwanamke anaumia....Takwimu zinaonyesha wanawake wanene wanaongoza kuumizwa na wenza wao kulilo vipotaable... Watu wengi huzimika na wanawake wenye makalio makubwa lakini ukweli ipo tofauti kubwa kati ya wenye makalio madogo na makubwa kwani wanawake hawa wamekuwa na kero kadhaa ambazo ni sugu na zifuatazo ni kero  kuu tatu. 1.Mwanaume huwa hapati mwanya au nafasi nzuri wakati wa tendo hushindwa kupata ladha inayotarajiwa, kwani mara nyingi ukubwa wa makalio huzuia uume kusakua uke kisawasawa hivyo badala ya kupata burudani unakesha ukihangaika kupekenyua  makalio na k...

UKIONA DALILI HIZI, BHAS WEWE NI MCHEPUKO KWAKE

Image
Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko tu. 1. Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya mapenzi tu 2. Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake 3. Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia 4. Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike 5. Ni mgumu kukuonesha mahaba ukiwa naye hadharani 6. Anahofia kupiga selfie na wewe 7. Anapigiwa simu za ajabu ajabu 8. Hakuiiti wewe kama girlfriend wake. Akiwa na marafiki au ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako 9. Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye

WAFAHAMU WAGUNDUZI WA VIRUSI VYA UKIMWI DUNIANI

Image
Mmoja Atajwa Kuhusika Kuvitengeneza: UGONJWA wa Ukimwi ni hatari na umeua watu wengi sana duniani. Leo tutazungumzia ugunduzi wa ugonjwa huu. Mwanasayansi wa kwanza kutangaza kuwa ameweza kuviona Virusi Vya Ukimwi (VVU) ni mtaalamu wa Kifaransa, Dk Luc Montagnier. Mtaalamu huyo ambaye aliongoza jopo la wanasayansi wengine katika taasisi ya Pasteur ya mjini Paris alitoa ripoti yake katika jarida la sayansi mwaka 1983. Katika utafiti huo alihusisha virusi hao na uvimbe wa kwenye mashavu unaosababishwa na mafindofindo ambayo yalikuwa yanawaandama sana wagonjwa wa Ukimwi. Hata hivyo, utafiti huo haukuweza kutoa picha halisi ya VVU hadi mwaka uliofuata mwanasayansi wa Kimarekani alipofanikiwa kukielezea kirusi hicho kwa sayansi inayoeleweka zaidi. Mmarekani huyo, Dk. Robert Gallo akiongoza jopo la wanasayansi wengine, mwaka 1984 walitangaza ripoti yao ya utafiti kwa kina na kutoa machapisho manne ya ripoti kwenye jarida la kisayansi. Chakushangaza ni kwamba wapo wanas...

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI MKIWA MNACHAT NAE, ACHA KUCHAT NAR

Image
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO:  1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear'' 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui'' 3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu,...

HIZI HAPA AINA NNE ZA WANAWAKE MICHEPUKO

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

NJIA BORA ZA KUISHI NA MWANAMKE/MWANAUME MWENYE HASIRA

Image
Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba Hasira ni mbaya, na kwa sababu hio hatutakiwi kuwa na hasira Kwa hio hatujui jinsi ya kuishi na mke au mume mwenye Hasira. ni kweli , ni moja ya njia nzuri ukiwa ni mwenye hasira kwa mwenza wako. kitu gani zaidi kinatokea? Hasira yako inaweza kuwa ni kitu kizuri kwenye mahusiano yako. inaweza kuonekana kama kuchanganya hivi, lakini kuwa mke au mume mwenye hasira inaweza kuwa isiwe kitu kibaya. Kwa nini, ngoja tuendelee kusoma hapa. Hasira Ni Kawaida. Hasira huja kutokana na kitendo kilichotokea wakati huo, lakini mara nyingi sana, Tunakosa nafasi ya kuelezea hisia zetu za hasira  zinapokuja. Na yote hio hutokea kwa sababu ya kuogopa au kuona aibu kuwa na hasira.kwa hio , kwa akili tulizonazo,Tunaficha hasira. Na tusiposhughulikia hilo , hasira inatushughulikia! Kwa mfano ,Hasira ndogo inaweza kugeuka ikawa hasira kubwa- kitu ambacho ni ...

MUME WANGU ANATAKA TUFANYE MAPENZI NA WAPENZI WENGINE KWA PAMOJA (GROUP)

Image
Mimi na mume wangu tuna uhusiano murua kati yetu, hatuna tatizo kitandani vilevile. Hata hivyo ana wazo hili la kiwazimu la kuwaingiza wanawake wengine katika shughuli yetu ya kupigana miereka ili kuboresha mambo. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52 na ninahisi majaribio kama hayo –ya wapenzi watatu au wane kusakata dimba kwa wakati mmoja – huenda yakaharibu uhusiano wetu. Hatahivyo, mpenzi wangu anasema anaweza kutenganisha mapenzi na kitendo cha ngono. Lakini kwangu siwezi kustahimili kumwona na mwanamke mwingine na Mume wangu wakisakata dimba.   Sitaki kuzuia shauku za mume wangu na nimejaribu kujihakikishia kwamba naweza kustahimili hili. Lakini sehemu ya moyo yangu inahisi kwamba hii ni kunivunjia heshima. Isitoshe, anasema iwapo siko tayari, angependa kufanya hivyo pekee yake. Nahisi kukwazwa moyoni, sijui nifanye nini....Naombeni Ushauri

WANAWAKE WOTE MKIWA KAMA HUYU MTAOLEWA

Image
Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje? Ikabidi nianze kumchimba. Aliponiambia wanaume ni Malighafi, nilishtuka sana. Nikaomba anidadavulie .... G: Unasemaje ? Wanaume ni malighafi? Sikuelewi? Una maana gani? M: Usinielewe vibaya, kwanza inabidi ujue maana ya malighafi. Nadhani unajua malighafi ni nini. Malighafi ni bidhaa inayohitaji kuongezewa thamani ili upate faida zaidi. Au unahitaji kuisindika kabisa ili iwe na thamani kwa faida yako. Mimi kama mwanamke kwangu mwanaume ni malighafi inayotakiwa kuongezewa thamani kwa faida yangu. G: Sijakuelewa kabisa mama. M: Sisi wanawake tuna nguvu isiyo kawaida. Mungu akikupa mwanaume, ni kama malighafi ...unatakiwa kuongeza thamani, kumtengeneza unavyotaka kisha unamtumia kuwa unavyotaka. Mwanamke anaweza kumwamsha mwanaume aliyelala na kumfanya kuwa Rais, au mwanamuziki ...